Factors to consider 1)Location ya hyo kipanda iko best alieka karibu na institution ama University because of the comrades they really rely on kipanda for lunch 2)Aanze na small capital ndio iwe easy kujua profit Ana make 3) Asitumie pesa ya loan Kuanza hyo business instead biz ikisha grow aneza boost stock na loan 4)For the start akuwe na employee mmoja wa kum support and with time biz iki grow Aneza add employee wengine 5)Quality services na quality meals hua Zina attract customers sana.. Sasa akianza biz Ana make sure food yake iko delicious na hygiene around kipanda yake iko well maintained 5)For the case interest yake ni chapati madondoo.. Anafaa kumake chapo soft ya ku bring customers
0
0
0