
FARM WEEK
Ushago na mimi 😊. Eneza ilicheza poa sana kwa akina Mimi, and as you can see the progress inashow. Coming home to find progress noma kama hii inanipea psych noma sana. Growth, only wasee tuko kwa Agri tunaeza attest to. A walk in the farm and kucheck the deversify crop. From banana, beans and Melon nacheck vile progress iko positive.
Shukran' sana team Mesh kwa platform noma sana ya kutujenga
#AgriBiz
0
0
0