Farmers Choice wakona opportunity moja safi. Ukiwa na capital ya 10,000 ukona chance ya kufungua biz ya Smokies na wanakupea trolley dust coat umbrella t-shirt na cap!
Good one sio?