
Farming ni njia fiti sana ya kuomoka mtu wangu. Izzo ana farm tomatoes and vegetables zenye ziko very high on demand saa hii. Find out from this video clip zile basic steps za kuanza a similar hustle ya kulima kama Izzo. Umewai consider kurudi Ocha kufanya farming if situation fail to get better in town mtu wangu? #ShujaazBiz #LindaFam
0
0
0