FARMING:
DE-TRASHING:
Huko ma-eneo ya Kisii na kwingine, miwa plantation zikiwa mob, nyoka wanaanza kuongezeka.
So, wakulima wanastrip older leaves za chini za miwa ili plantation iwe na nafasi in between mimmea, na hewa na sunlight iweze kupenya ndani ya plantation.
Wengine huita leaf-stripping au defoliation.
Hii inasaidia:
-
Kupunguza idadi ya wadudu(pests), magonjwa na predators kama nyoka.
-
Aeration: Hewa safi inaweza kupenya kwa plantation
-
Sunlight inaweza kupenya hadi chini kwa plantation
-
Hizo matawi za chini huwa mzee na huzuia plant kupata chakula cha kutosha. Zikitolewa, mimmea hustawi.
-
Hizo matawi hutumiwa shambani kufanya mulching.
0
0
0