
Fast of all, jina ya Tittle yangu ni KAMAZERLLY BARBER SHOP, inapatika Mombasa/ Kona Mpya, surely, nilivyopata hii nafasi, ya kujiunga kwa hii Mesh.life, Leo nimefurahi sana, kwani imekuwa kama ndoto ya maendeleo kwangu. Nimetoka mbali na hustle yangu ya hii busyness yangu ya Kinyozi, nimepambana mwenyewe bila hata support ya mtu yeyote, it's like 10 yrs ago now, since nijishughulishe nayo. Nakumbuka vyema, ni kama miaka 5-6 sasa toka nipatane na wasee wa Shujaaz, nimejituma sana kuhudumia mayouth mtaani, bila kinyong'o, kipindi hicho busyness yangu ilikuwa inalipa vipoa, but,ilivyoingia Corona, wee!!! Kila kitu imechange, buz iko down kweli, so nikipata support yenu pia nitashkuru sana. Niko na mengi yakuongea but acha nikomee hapo.
0
0
0