
Feedlot Farming.
Feedlot farming ni style ya kulea mifugo kama ng'ombe kwa confined spaces ili ku-maximize production na efficiency.
Hii system, mifugo upewa specialized feed kama grains na nutrients-rich supplement ku-promote rapid weigh gain in a short period.
Challenge kubwa ukuwa potential dieses transmission pamoja na environmental impact.

0
0
0