Feeling poa ni ile feeling mtu hupata akiona hustle yake inampa kitu cha kuweka mfukoni na mezani pia ili kuimarisha maisha ya usoni, Mesh inatupa nafasi zaidi ya kuboresha hayo yote