
Fellow MESHers, listen to this, avoid kubaisha secondhand phones pale mtaani unless if you know well the seller, coz inaeza kua ya wizi, instead apa MESH kuna gadgets zimekam in partnership with Shortlist so that unapewa ulipe mdogomdogo at 0% interest.

0
0
0