
Fellow meshers , mimi kama vile niko na experience yangu kidogo I can advise you on what to consider ukianzisha biz. Kwanza anzisha kitu uko na passion nayo kabisaa. Kuna time I started a mitumba bizna juu ya peer pressure from my friends webye walikua wanado hiyo biz. Mi sikua naielewa it led to massive losses! Sikugive up though, niliamua kukua courageous na nikago for hairdressing bizna juu ni kitu I have passion in. Kukue kubaya ama kuzuri I'm appreciative juu ya passion tu. Alafu before uanzishe biz, kua na bizna plan fiti huezi amka tu ufungue biashara yoyote. Plan vitu zako venye utasave, venye kukiwa kubaya utajiinua💯
0
0
0