Fellow meshers!! Tukiendelea ku-hustle, kumbuka kufanya budget fiti. Itakujenga sana kwanza kwa biz. Usually wasee hukua na monthly budget plan, lakini inaeza kua daily ama weekly budget. Wewe huchora budget yako aje? #ShujaazBiz