
Fellow Up na response za ukulima ka hauna Land. Kuna points fiti Mesher walishare kwa comment section worthy noting.
š Land Lease. Hii ni ile design msee anacheck place fiti unaeza do kilimo, unaagree and unachora agreement na tenant kutumia land for a specific period. On average places most ukuwa around 10k per acre per year. Ni poa kufanya research fiti ya vitu kama family conficts, wildlife, fertility ya land na pia source of water ya ku do irrigation.
š Vertical / Kitchen farming; @Creaction alishare point fiti sana. With little research hapa na pale, states hii ni innovative and rapidly growing method yenye ina involve kugrow crops in verticle staked layers ukitumia technologies kama hydroponics, aeroponics and LED lighting. Though ni expe kiasi but iko na very increased crops yields, reduced water and pesticides usage.
With every challenge, kuna solution, thanks to Mesher wenye wako experienced and ready kushare their knowledge kwa timeline and comment section. Usisahau ku join group yetu ya AgriBiz ndio post za kilimo zisikupitage.
