
FESTIVE SEASON TALKS.
SO MY GOOD PEOPLE, KUNA KITU MWAKA INAISHA KAMA SIJAJUA AND THAT IS KUCHAGUA AVOCADO MZURI WITHOUT OPENING INSIDE.
SAIDIENI COMRADE, WHAT HELPS KUJUA OVA NI POA BILA KUKATAA NDANI JU SI POSSIBLE KUKATA KATA OVA KILA PLACE??
#TUCHANUANE



0
0
0