
Financial wellness ndo the most common thing inaafect mental health ya wanabiashara. Njoki anawork 2jobs a day na gigs za hapa pale kumake end meets. Siri Yake ya kuensure ako financially stable na mentally okay ni ; Ako na different bank accounts zenye anawekea pesa zake. Each Account ame label the purpose. KAZI Yake ni akipata dooh ana I split to the various accounts in that haitafika end month aanze kupata na stress ya rent she's been saving up for that the whole month. Is this a good strategy to ensure your financial and mental wellness is taken care of ?
0
0
0