
First aangalie market ambayo inaeza supply na cheap accessories in wholesale ama bulk kisha aangalie the common and fast going accessories za like 17000 kisha 3k atumie kwa movement na amake sure ame attend kila market na akuwe na good sound system ambayo itamsaidia kuleta customers
0
0
0