First before nianze kusave niliset saving rules.. e.g target yangu ya kusave ni ya pesa ngapi at the end of the year. Pia nilireduce Doo ya expenses ili niget Doo mob ya kusave.