
first consider buying price yenye ulitumia kununua hizo bidhaa. hiyo itasaidia kuweka bei ambayo haitaleta hasara. second unaeza ukafanya survey kwa hiyo area ili ujue your competitors wanauzaje bidhaa zao. hiiitasaidia kwa kuweka bei ambayo haitakuwa juu sana ama jini sana. *third unaeza ukajukua data kutoka kwa customers wako, unaeza ukajukua kama bei yako iko juu sana ama jini. *unaeza ukaamua pekeyako kulingana na bei ya hizo bidhaa.for example unahesabu vitabu zote alafu unaeka bei ambayo haitakupea hasara
0
0
0