
First kwa Community kitu naeza taka wajue most ni je #Mesh ni nini. Mesh inasaidia Community by advertising their work , inatupea business idea kibao na venye pia inatu mentor in business. For example. Mesh imekua impact poa kwa mayouths juu msee kama mimi inanipa confidence na na nimekeua more creative and business focused. Kupitia mesh pia Community itapata exposure ya kumeet na watu different ambao wanashare same business so wanajengana vinoma. Mesh pia inaleta ile Community unity kwa kuleta mayouths pamoja na wanawapea nafasi ya kujifungua mioyo na kuelezea challenges wanakutana nazo daily na wanapata advise pia ya kuzi overcome.
0
0
0