
First mimi huchukuwa record full ya stock yangu,then nikiuza na keep record ya new stock against old.Mostly kama buzz ya boutique huwezi acha mbaka old stock iishe. So nikimaliza na stock in question kuna stock obvious hubaki,nachapa total then nadeduct from general stock income.Then Kuna expense pia naeka kando halafu nabaki na general profit. Hapa sasa huwa tricky ndio lazima ujinyime juu kuomola lazima. First naeka doo ya emergency kando,then naeka za savings mostly lazima iwe most halafu ikibidi kujinice mbka pia nisave pole pole si once.
0
0
0