
first mimi niko na hustle na nikiwa na 15 k i will use 10k kuimprove my hustle by adding stock. kwa saa hii mimi ni hawker na since biz yangu iko down for now, i will buy more stock thus i will cover more customers in town. the remaining money ntabuy staff ya nyuma kama food. this will boost me for the next one month.
0
0
0