
first ni kuwaeleza watu MESH ni nny na what is it's purpose ju si wasee wote pale mtaani wanajua kuhusu MESH ,,, after that unajaribu kuwaeleza faida ya MESH,z,in which ikona advantage mingi kwa wasee mostly youths wale wako unemployed kwa hii platform wanapata chance ku advertise job zao,,wengine wanapata job ,,alafu MESH kitu muhimu nayo inajenga wasee na ideas mob za kuanza business na vile msee anaweza jikimu kimaisha,,,kitu ingine muhimu kwa MESH platform ni kuwa ni free kwa msee yoyote akuna pesa unaitishwa ama unaidiwa ili uweze kuji advertise ama ki advertise business yako,,,so msee akiwa na Smartphone anaeza download app ya MESH pale play store en freely join thy platform na ataweza kupata wasee mob kwa groups na they will freely share ideas about there business without any restrictions,,,alafu ya mwisho ni kuwashukuru wasee wote wenye wako kwa Mesh na admins wa ii platform kwa kutupea ii chance ili tuweze ku advertise job zetu na kushare ideas na wasee mob be blessed all MESHERS🙏🙏