
First of all hii biz ya samson ni biz legit Sana yenye huleta doh kwa haraka, what he need to do anaeza advertise biz yake kwa social media pages zake, akue na plan kwa biz yake and incase he runs out of stock asiteseke anaeza pata loan kwa jiiinue na biz yake itarun fiti.
0
0
0