
First of all kama ni kibanda yenye imejengwa anza na rent ya 1000 depending na location. Plates hizi za 20 each kama 20 that's 400.
Vijiko 2 dozens that's around 250.
Sufuria buy tatu kubwa that's 3000.
Buy sufuria mbili ndogo ya 600 hii ni strong tea .
Vikombe buy kama 10 cups zile za mabati 2 dozens those are 12 at 550. Pan ya chapo 1000.
Hotpot ya chapo 1200.
Thermos kubwa 1200. Serving spoons mbili 200. Rolling stick 150.
Kitchen table 1500.
Jiko mbili 1400.
Benches mbili kwa fundi 1000.
Meza ya kukula 1500.
Unga ya kuanza 4kg that's 200.
Unga ya chapo 6kg 600.
Mafuta ya kupika ukibuy kimbo it's cholesterol free unaeza pikia chapo na mboga buy 1kg 320.
Mboga anza na sukuma ya 100.
Kienyeji ya 200.
Keep the place clean.
Ukipata hio kikapu it keeps food warm it goes for around 2000.
The total is 19000/=.
For sufurias you can start with small ones it will be cheaper .
Instead of the hotpot unaeza tumia hio kikapu it will be cheaper it can keep both ugali and chapati warm. You can start with plastic spoons they are cheaper but for longlasting go for metal ones.
Sufurias material ina matter kuna zenye ni cheaper but hazitakaa sana so choose the better . But pia kwa rent kama unaeza pata place ujenge kakibanda kadogo kako nje itakua poa.
Kuanza you need good capital have tried and it was a success.
#MESHkibanda



