
First of all Nashukuru Sana Mesh kucome up with idea ya kuform platform fiti ya Youths kushare idaes na kujengwa venye wanaeza kujikuza kimaisha 🙏 Nikiwa among wenye wamejengwa na kujengana Nimepokea budge 4 za maana Sana Nashukuru kwa kutambuliwa 👊
0
0
0