
First off nawashukuru sana for your tips nimelearn mob especially online biz hadi sai am doing one na inanipeleka poa.
- Kwanzaa ni plan on how to start it.
- Kufanya online biz lazima uwe na courage despite what people will say about you.
- Be patient na kazi na hardworking usi give up rahisi kwa biz ya online juu hapa ndo kuna pesa For the last three months na online biz sijai kosa sabuni breakfast na anything yenye nahitaji yaani skills nimeget kutoka hapa they have boosted me mbali sana.
0
0
0