First potential customers biz ikiwa changa huwa ni friends na familia. Ikikuja kwa kupeana vitu kwa deni inakuwa ngumu kukataa juu ndiyo walianza biz na wewe. How do you handle such a scenario?