First unaanza na karibu customer,you lighten up your face,unamuonyesha they have your fully attention,unamuuliza angependa kununua nini Akisema lets say ni tops..you show them all the varities you have na prices pia On my part i usually tell them..waona hii top inaweza endanisha poa sana na ile trouser yako ya black /or ile skirt yako ya white..and they laugh wanauliza unajuaje niko na trouser ya black..na reply aah si huwa nakuona ukiwa umevaa,ama kuna siku niliona ukiwa umevaa(even if sijawahi,everyone has a black trouser right)..then namshw a try on and i tell them vile napenda mtu apime ajiangalie kwa kioo atoke hapa akijua iko fiti kwake,asije akakosa kupima afike kwa nyumba aone haiko poa ibidi tena arudishe... Then we do the bargaining Akibuy ama asibuy...i tell them thank you na karibuni tena