
Firstly I feel his target customers ni low & middle income earners, not sure if his potential customers wako in a mall but if ako na customers ni sawa. If hana ageuze market yake to a stage penye travellers hununua snacks. Pia anaweza uza snacks sana kwa events especially during hot weather (Hapo drinks zitaenda sana).
Secondly Samson aongeze snacks zingine kama drinks, mandazi, cakes, ngumu, njugu, mkhombero & sweets like juice fruit, pk and tropical.
Samson pia should have soko cheap na suppliers wanamuuzia stock ili apate higher profits or ndio aweze kuuza stock yake cheaper than competitors wake. Capital ikimkubali achukue vitu in wholesale kwa wahindi (no offence but hawana tamaa kama sisi).
0
0
0