Firstly, lazma ueke kibanda chako mahali kuna targeted customers na mahali kuko busy. Secondly, lazima upike food ambayo inaendana na customers wako; usipeleke chapo mahali kwa pizza Third, lazma uangalie bei za chakula chako ubalance kualingana na wale macustomer Fourth, uangalie quality ya chakula chako Fifth uangalie hygiene and sanitation.
0
0
0