
Firstly, Look for place Iko na traffic na Iko busy, such places ni kama industrial area, kwa mafundi, mechanics etc. Make sure Kuna enough supply ya maji, bcoz maji ni important kwa biz yako ya fud. Hakikisha sanitation Iko top. Capital: ask relatives wakujenge, doh, saka digital loans affordable na zile hukujenga enough time ya kulipa. Tafuta area rent ni affordable, na security muhimu. Look for friends to help you for labour, coz mshahara lazima ikue relatively low, so unahitaji wase understanding.. Above all, jua kuwa mse honest na kazi yako, pikia clients food healthy, not just for the sake of money, but jali clients... Remember you always start small to earn big later.. consistency ni muhimu. Good luck. 😊
0
0
0