
⏩ FIVE questions unafaa kujiuliza ukianzisha #Biz yako 👇🏾
#Challenge common sana tuko nayo kama #MESHers ni tunataka kuanzisha #Biz but we don't know where to start🤔 A few questions unafaa kuji-uliza;
👉🏾 Unatambua passions ama interests zako? Andika list mahali na potential #Biz ideas hapo. 👉🏾Family/Friends wanakutambua kama nani? Feedback ya wasee inaeza ku-saidia kutambua skills zako. 👉🏾Unapanga ku-achieve nini in life? Ni poa ku-set goals zako personal, these will guide you hata kwa #Biz 👉🏾Kuna opportunities gani za Biz mtaani? Tambua surroundings zako vizuri, ni poa kujua gaps za mtaa ndio #Biz yako ikue na customers wengi. 👉🏾 Unaeza raise #Capital ya how much? At the end of the doh uko nayo ndio itakusaidia kuanzisha #Biz.
Na hizi swali, utapata direction kiasi on the way forward. Ongeza thoughts zako kwa #Comments, questions gani zingine ni muhimu?
#SisiNiMESH #StrongerTogether
