
FKF ELECTION UPDATE...
Kenyan football lover walienda elections na wakaamua it's time for Mwendwa kuenda home na a new regime ikaingia.
Hussein Mohamed na Mariga are the new elected top chops.
Hussein ndio CEO wa Extreme Sports Kenya na Mariga ni former player wa Kenya national team.
Soon tutaongelelea each vitu wame achieve but sai unaonaje about having former players at the helm, tutaomoka????

0
0
0