
Flashback Friday 📸 What a year! 2021 #Community ya MESH ilijengwa na #Opportunities kibao! 🚀🚀
-Wasee waliomoka na #EnezaLoan (Kumbuka dawa ya loan ni kulipa! 💰) -Tuli-connect na Mentors kibao wamejenga #Community na #opportunities kibao 💪🏿 -MESH groups zimeshika kushika na kila msee ako at home 😎 -MESHers wali-connect na kujengana na #Biz 🔌
Sahii tuko karibu kufika 50k exclusive members! 🔥 🔥 We are the future! Ungependa ku-get #Opportunities gani this year?
Share na SISi! #SisiNiMESH #MESH4Life
0
0
0