
Follow up post- 5 Reasons wasee wengi wenye wana fanya Online jobs hawapendi kushare venye wana make ganji online-
- Kuhofia kupata competition na kupunguza their earnings
- Kutunza secrets za biz zao zenye wamijifunza for a long time.
- Some wana fear kushindwa na their tricks kuwa of no use once zimejulikana.
- Kuwa na uncertainty if their methods zitawork kwa wengine
- Ku create paid products where wanalipisha kufunza
Do you agree with this? And katika spirit ya kujengana is it wise?
0
0
0