
Food safety especially how to store food in the fridge ni important sana ku avoid food poison. Here are some mbinu unaeza work on from your kitchen.
š£ Weka raw meats, poultry na seafood kwa sealed containers ama plastic bag ku prevent their juices kuchanganya na other foods. š£ Leftovers pia weka kwa shallow containers unaeza pia label na dates ndio u'keep track š£ Weka raw foods mbali na ready to eat kama fruits na vegetables kuprevent contamination š£ Unaeza adopt FIFO (First in. First Out) hii ina ensure older items ndio zinatumika mwanzo ndio zisi expire.
Have more tips? Please tuchanue kwa comment section.

0
0
0