
Food ukuwa meant for the kitchen table, the dining room, food court, or your favourite restaurant. However, once in a while, kuna places unaeza kutana na kangumu, mahindi choma, mkate.... kwa mischievous places it shouldn't be.
From the bizarre to the downright baffling, ni wapi ushawahi kutana na dema and you are like..... aaai hii nayo hapana?

0
0
0