
Football is back like never before! 😍 Sasa tunaeza dream na long for the weekend tena. Hata leo kuna team ikona negative goal difference na bado wanajifanya hatujui 😂. Plus, kuna early kickoff – na kama wewe ni Football fan unajua vile inamaanisha!
Meshers, drop your clubs’ names hapa tupatane. ⚽🔥 Na wale wako kwa FPL, how’s your team doing?
0
0
0