For a long time sasa Brian's Health Corner imekuwa ikichanua wasee mastingo za health sanasana,, lakini leo tunataka tuchapiane kiasi pia kuhusu #Relationships,,,,
Kuna boyz ameoa mdem flani na huyu dem hadai kutumia protection measures both za kuzuia boll💡na pia magonjwa🤨
hapo kwa comments tusaidie huyu nduguuu kabla ateme huyu dada yetu🫵🏾🫵🏾
0
0
0