
For good start, you should have a total of 200k. Ratiba yangu itakuelekeza sawa sawa. Ensure the place you are going to start your cyber is secure and accessible to people.
Hiyo place iwe na watu wanataka your cyber services. For example mahali karibu na shule. Students wengi hutumia cyber sana.
Make sure umeinstall WIFI.Especially Ile ya kulipia ju pia itaongeza profit watu wakitumia.
Desktop, printer, camera, data cables, binding machine, ream papers, laminator utaweka Incase ya vitu kama passport znahitajika.
A part from that, uneza make that cyber cafe iwe kashop ka kuuza snacks na drinks of which you will need a fridge for that.
Despite the security of the area, CCTV will also help . Viti na meza pia weka. License muhimu sana especially from the county government.
Then piga wera wewe mwenyewe kwanza. Usi employ watu kwanza ndo biz ikiivana uta wa employ .

