For me I think na hiyo following yake anaweza pata dooh by 1.Yeye kuuza products na services zenye amespecialise in 2. Anaweza advertise products ama services za another company so that akuwe analipwa commissions 3. Pia anaweza allow ads from Facebook zi run kwa videos anapost
0
0
0