
For oversees job application, check if CV yako iko na hizi features;
-
Picha yako - ikuwe a professional photo. Pigwa picha kwa studio, kuna studio zinaoffer uniforms especially black suits for both majaa na madem.
-
Your profile - hii ni the kawaida details. Tafadhali keep it as brief as possible. Kumbuka kuahighlight job unataka.
-
Certificates and recommendations - usiseme your are qualified but huna papers za kuonyesha the experience ama certification.
-
Passport - this is the 1st thing kila agent atakuwa anadai. Make sure iko well scanned kisha attach kwa CV.
Simple!!
But sio rahisi vile, that's why tunaooffer kuku-update-ia CV yako at 999/- only. This automatically inakueka kwa data base yetu where ni rahisi kukuwa shortlisted kwa job opportunities zikitokea.
#hasslefreetravel #perskymedia
