
For popcorn use different flavors kama caramel popcorns na zingine utumie pia colours kulingana na flavors...watoi hupenda vitu coloured sana wangependa kuzisample na packaging pia tumia zile fancy na specific themes kama za cartoons...mtoi anaeza ona ya mwingine kama mickey mouse na atake kununuliwa iyo just because of that theme ....then kuwa na give aways ama offers ukibuy lets say popcorn ya pesa fulani unaeza sema anapata chance ya kusample ata mabuyu ivi ...crisps pia packaging yake inamatter unaeza tumia stickers pia zile ziko themed na jina ya biz yako na namba
0
0
0