
For starters, business ukuja na challenge. Ukuja na burgage. Ukuja na stress. Ukuja na disappointment. But then kuna the blessings zenye ukuja nazo peace of mind, stability, opportunity of doing something you like doing and independence. So this attribute ndio unafaa ku focus sana uki start business. Hizo ma disappointments ni za kawa and they should not stop you from ku run bizna amd kujinga #Tukijenge
0
0
0