For sure life imekuwa ngumu sana but tunaweza join hands kama wasee kumi twende tuitishe youth fund tufanye mradi pamoja as umoja ni nguvu.