
For the Ladies, Mkivaa heels how do you gain balance, nimekua curious sana.
Coz the shoes mimi nikivaa walai nitajipata chini 😅😅😅. Ebu nichanueni hapa kwa comment section there is something I want to know.
It will help me in marketing the high heels. 😃

0
0
0