
For wakulima jiji; away farmers, being physically at the farm ukuja na kafinyo flani kafiti, kenye upea msee a different angel ya ku view the whole progress.
Kuna kilimo on paper na kilimo kwa ground, and in most cases, hizi ni two different scrips of the same story: Mkulima yawning for success. Leaving them ku'develop vi'different, BUDA, lazima "Machozi".
So fikaga kwa farm often.
Na kumbuka everyone is welcomed ku post kwa Agribiz Group as long as ni kilimo related content (na appreciate Mesher wenye wamekuwa active). Wale pia mko na suppliers wa fiti wa farm inputs/products please share na sisi leads na contacts, kama kawa, #TUJIJENGE

0
0
0