
π€ freelancing space π¨βπ»
π‘This industry is growing everyday, with the state backing and individuals choosing to be self employed, hii Iko promising sana kwa wasee wanataka kukuwa scalable kwa biz yao and start their online career π―
π‘But again kuna alot of scams and miss_information going around....kaa rada na ujue kila msee anaeza kuosha, deep down all of us humans tunakuwanga wasee selfishπ€π, but that doesn't mean hakuna wasee genuine hapa nje, it simply means scammers ni wengi kaa rada...
π‘ Another key note is you need to have the skills, hakuna msee hatakusaindia kumake dooh online kama wewe mwenyewe haujitumi, so take the responsibility to learn and network na ujue vile hii utagrow biz yako kwa hii space π―

0
0
0