
Fridays are for #fun,,, but kwa Meshers wa power πͺhii ni opportunity ya kuongeza sales na ku'improve on profit π―π―π― So hapa niko na point moto π₯ sana on how you can utilize this Fridaysππ»
β since wasee most huanza weekend Yao on Fri, unaweza extend your working hours by even 2hrs,make sure atleast umewai wale wasee huingia kejani late in the night coz obviously kuna service wataitaji from you π―π―π―
0
0
0