
"FRIENDSHIP IS FRIENDSHIP AND BUSINESS IS BUSINESS"
Kama wewe ni msee wa bizz, Weka hizo business rules zikue clear. The reason is those people who mostly call themselves your friends will definitely missuse you.
Acha wasee wa respect hustles yako, sometimes tunakuaga desperate kuwaambia ukweli coz we are afraid of loosing the friendship but in the end ni sisi tunakua affected na we are left will the load to carry.
Before uende kwa morio wako jiulize kama mngekua ma morio wake kama kumi alafu muingie kwa bizz yake mkose kulipa nyinyi wote, ingekua ni wewe ungefeel aje ?.
Respect your friends Hustle, its raining everywhere.

0
0
0