
Fuel increase imefanya biz kuenda down msee kama Mimi niko na kabiz kadaily product sahii ni challenging Sana hadi unakuta demand imeenda down juu macustomers wanajaribu kubalance na Ile doo wako nayo pia unakuta pia wale suppliers pia wao wanaeka duka zao za daily products na prices ziko chini kuliko zetu so sahii ni noma nbaya
0
0
0